Kazi Zetu na Maoni ya Wateja
Tunaamini katika vitendo na matokeo halisi. Tazama baadhi ya miradi ya website, usajili wa kampuni BRELA, na mifumo ya masoko tuliyowajengea wateja wetu nchini kote.
Mifano ya Kazi Tulizofanya
Je, una mradi unaofanana na hii na ungependa kuona tukizungumza kiundani? Bonyeza hapa wasiliana nasi moja kwa moja WhatsApp kwa ushauri wa bure.
Tanzania Aquaculture Organisation (TAO)
Ujenzi wa website rasmi ya shirika inayofanya kazi ya kuonyesha miradi ya ufugaji wa viumbe maji, kukuza uhifadhi, na kuruhusu wanachama kujiandikisha mtandaoni.
Veritas Agroscience Investment Ltd
Website ya kisasa ya kampuni ya uwekezaji wa kilimo, inayoweka wazi huduma zao, malengo yao, na kurahisisha mawasiliano na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.
Blogre Cleaning and Farmigation Services
Website ya huduma za usafi na upuliziaji dawa (fumigation). Inajumuisha mfumo wa wateja kuomba gharama (Quotation) na kuweka miadi ya kufanyiwa usafi mtandaoni.
Sayuni Hearing Foundation
Ukurasa thabiti na wa kutoa huduma kwa jamii kwa ajili ya taasisi inayosaidia matatizo ya usikivu, unaowezesha kupokea misaada na kuandikisha wahitaji.
Zeclasa Company Ltd
Uratibu mzima wa jina, uandaaji wa MEMART, na kupata cheti cha usajili (Certificate of Incorporation) kutoka BRELA bila vikwazo.
Kiki Urembo College
Usajili rasmi wa chuo cha urembo, uandaaji wa nyaraka za kisheria, na kuweka misingi sawa ya kodi (TRA TIN) kwa ajili ya uendeshaji wa chuo.
Bandola Security Services Ltd
Usajili wa kampuni ya ulinzi binafsi kisheria, ikiwa ni pamoja na uandaaji thabiti wa katiba ya kampuni (MEMART) inayokidhi vigezo vya sekta ya ulinzi.
Zaidi ya Majina ya Biashara 20+
Tumefanikiwa kusajili majina ya biashara ndogo na za kati (Sole Proprietorships) kwa wajasiriamali mbalimbali nchini ili kuwasaidia kuwa rasmi.
Sogeza panya (Hover) juu ya picha ili kusimamisha mzunguko na kutazama kazi zetu vyema:
Nini Wateja Wetu Wanasema Kutuhusu?
Mkurugenzi, Zeclasa Co. Ltd
Dar es Salaam, Tanzania
Usimamizi wa Miradi, TAO
Kigoma, Tanzania
Meneja Uendeshaji, Blogre Cleaning
Pwani, Tanzania